Uliza_Bei JF-Expert Member Joined Feb 17, 2011 Posts 3,216 Reaction score 994 Oct 4, 2012 #1 Hii mbinu ya wadada kuomba lift nimeiona ufaransa......hapa kwetu ikianza wanaume mna maoni gani?
Uliza_Bei JF-Expert Member Joined Feb 17, 2011 Posts 3,216 Reaction score 994 Oct 4, 2012 Thread starter #2 Anaomba lift tu.....kama utaleta maneno yako anakuambia uwe na adabu niliomba lift yako tu siyo zaidi
Anaomba lift tu.....kama utaleta maneno yako anakuambia uwe na adabu niliomba lift yako tu siyo zaidi
K kiparah JF-Expert Member Joined Sep 7, 2010 Posts 1,173 Reaction score 117 Oct 4, 2012 #3 Don't lie, hii ni kawaida kwa malaya wanaojiuza pale South Africa and Botswana.
kamtu33 JF-Expert Member Joined Mar 15, 2012 Posts 998 Reaction score 409 Oct 4, 2012 #4 Wewe ni me au ke?