Mtumbwi uliozama Member Joined Jan 5, 2014 Posts 27 Reaction score 4 Feb 18, 2014 #1 Kuna mwenye taarifa za nafasi za JWTZ kwa ngazi za kawaida?
7ve JF-Expert Member Joined Feb 1, 2014 Posts 1,567 Reaction score 4,432 Feb 23, 2014 #2 Dah mmeambiwa sana tu mpaka upitie jkt then unaenda jwtz sasa we endelea kusubili tu mpaka uzeeni.mi nilitegemea kuuliza jkt itachukua lini tena vijana kutoka uraiani.
Dah mmeambiwa sana tu mpaka upitie jkt then unaenda jwtz sasa we endelea kusubili tu mpaka uzeeni.mi nilitegemea kuuliza jkt itachukua lini tena vijana kutoka uraiani.