donlucchese JF-Expert Member Joined Mar 23, 2011 Posts 17,258 Reaction score 22,140 Jan 1, 2014 #1 ni muda gani baada ya kumaliza dozi ya dawa unaruhusiwa tena kutumia kilevi
Iyokopokomayoko JF-Expert Member Joined Sep 15, 2011 Posts 1,785 Reaction score 444 Jan 1, 2014 #2 inategemea ulikuwa unaumwa nini na ulitumia dawa gani. pumzika japo wiki, isitoshe hakuna faida yeyote ya kutumia kilevi.
inategemea ulikuwa unaumwa nini na ulitumia dawa gani. pumzika japo wiki, isitoshe hakuna faida yeyote ya kutumia kilevi.
Kozo Okamoto JF-Expert Member Joined Oct 14, 2013 Posts 3,391 Reaction score 1,546 Jan 1, 2014 #3 donlucchese said: ni muda gani baada ya kumaliza dozi ya dawa unaruhusiwa tena kutumia kilevi Click to expand... muda wote tu,unaweza kutumia zote kwa pamoja
donlucchese said: ni muda gani baada ya kumaliza dozi ya dawa unaruhusiwa tena kutumia kilevi Click to expand... muda wote tu,unaweza kutumia zote kwa pamoja
donlucchese JF-Expert Member Joined Mar 23, 2011 Posts 17,258 Reaction score 22,140 Jan 1, 2014 Thread starter #4 zafanana said: muda wote tu,unaweza kutumia zote kwa pamoja Click to expand... limjazalo mtu..........
zafanana said: muda wote tu,unaweza kutumia zote kwa pamoja Click to expand... limjazalo mtu..........
U UWOGA=UMASKINI JF-Expert Member Joined Dec 30, 2013 Posts 2,400 Reaction score 1,019 Jan 1, 2014 #5 baada ya masaa 24 ila inategemea na dawa.KILA MTU NA STAREHE YAKE KWANI BORA KUWA MLEVI KULIKO MALAYA HATA WAKE ZENU HUSEMA
baada ya masaa 24 ila inategemea na dawa.KILA MTU NA STAREHE YAKE KWANI BORA KUWA MLEVI KULIKO MALAYA HATA WAKE ZENU HUSEMA
donlucchese JF-Expert Member Joined Mar 23, 2011 Posts 17,258 Reaction score 22,140 Jan 1, 2014 Thread starter #6 Iyokopokomayoko said: inategemea ulikuwa unaumwa nini na ulitumia dawa gani. pumzika japo wiki, isitoshe hakuna faida yeyote ya kutumia kilevi. Click to expand... shukran mkuu, nlikunywa dawa flan kuchoma cndn ya TT baada ya kukatwa na kipande chabati mguun
Iyokopokomayoko said: inategemea ulikuwa unaumwa nini na ulitumia dawa gani. pumzika japo wiki, isitoshe hakuna faida yeyote ya kutumia kilevi. Click to expand... shukran mkuu, nlikunywa dawa flan kuchoma cndn ya TT baada ya kukatwa na kipande chabati mguun