Wadau huyu jamaa amesikika kwenye beat nying sana mpaka sasa, achilia mbali kusikika tu ila ameweza kuleta ladha ya kipekee katika bongo fleva.... Wasanii kama Aslay, Rayvan, Y tonny, Timbulo na wengine wengi wameweza kutambaa naye vizuri. Imefika muda mpaka producers wengine wameanza kumuiga. Je Zest ni nani? Studio zake ziko wapi?
Kwangu kuna jamaa yupo T touch naona ndiye kaleta ladha ya kipekee kwenye Muziki.Wadau huyu jamaa amesikika kwenye beat nying sana mpaka sasa, achilia mbali kusikika tu ila ameweza kuleta ladha ya kipekee katika bongo fleva.... Wasanii kama Aslay, Rayvan, Y tonny, Timbulo na wengine wengi wameweza kutambaa naye vizuri. Imefika muda mpaka producers wengine wameanza kumuiga. Je Zest ni nani? Studio zake ziko wapi?
Acha kukariri mambo mkuu...toka umesikia hiyo shithole basi imekutoa uwezo wa kufikiri...mbona wenzako wamejibu vizuri tu!!!
UPO sahih, jamaa yupo pale Tabata relini kama unaelekea St Marry Teachers college.. ndo mitaa yangu.. vi underground vnashnda sana pale nje ya studio karibu na KWETU STUDIOZest Daud huyu jamaa anaimba injili ana studio ipo Tabata inaitwa moja moja record.
Ni producer mzuri nafikiri ndiye katengeneza mdundo wa pusha.