Akili Pesa
JF-Expert Member
- Jun 18, 2014
- 616
- 854
Nunua Codrill Plus!Waku habari.
Naomb kujuzwa dawa nzuri ya mafua man yamebana haswaa iwe ya nzuri haswaa ili nikiitumia inisaidie haraka nipone nateseka na flue mno.
Chukua tangawizi kias parua au twanga changanya na maji kikombe kimoja kunywa utaleta mrejesho mwenyewe hapaWaku habari.
Naomb kujuzwa dawa nzuri ya mafua man yamebana haswaa iwe ya nzuri haswaa ili nikiitumia inisaidie haraka nipone nateseka na flue mno.
Waku habari.
Naomb kujuzwa dawa nzuri ya mafua man yamebana haswaa iwe ya nzuri haswaa ili nikiitumia inisaidie haraka nipone nateseka na flue mno.
Kanunue vidonge vya Clarinase, hutajuta. Ni Antihistamine nzuri.Waku habari.
Naomb kujuzwa dawa nzuri ya mafua man yamebana haswaa iwe ya nzuri haswaa ili nikiitumia inisaidie haraka nipone nateseka na flue mno.
Hiii sijawahi tumia nitajaribu maana mi ninashida hii pia,Dawa zangu ni Piriton,Cetrizine na PredinisolineTafuta Loratyn ni kiboko ya mafua
Tumia hii ,mimi nilikua na mafua last week hata tofplas haikunisaidia ndio nikapata hizi zikanisaidia hadi sasa yamepona kabisaHiii sijawahi tumia nitajaribu maana mi ninashida hii pia,Dawa zangu ni Piriton,Cetrizine na Predinisoline
Hiii dawa ni kiboko ya Mafua, nimetumia siku Moja tu, ya pili sikuyaona mafuaKanunue TOFF PLUS yale mavidonge makubwa yachenga chenga yanauzwa moja 400/= yapo vzr
Waku habari.
Naomba kujuzwa dawa nzuri ya mafua maana yamebana haswaa iwe ya nzuri haswaa ili nikiitumia inisaidie haraka nipone nateseka na flue mno.
Izo dawa ninzur kwakweli mimi muda wote mafua yakinikamata hua natumia izo nahua najitaid kubakiza ata vidonge viwili vyaakiba mana najua yakinichachafya ata ucku natupia kdonge kimoja naamka vzrHiii dawa ni kiboko ya Mafua, nimetumia siku Moja tu, ya pili sikuyaona mafua