mahonyo jr Member Joined Nov 8, 2019 Posts 59 Reaction score 13 Apr 3, 2024 #1 Habarini, Naomba kujuzwa Bei ya cherehani, butterfly kwa Dar
Dr Matola PhD Platinum Member Joined Oct 18, 2010 Posts 61,430 Reaction score 108,589 Apr 3, 2024 #2 mahonyo jr said: Habarini, Naomba kujuzwa Bei ya cherehani, butterfly kwa Dar Click to expand... Uko wapi kwani?
mahonyo jr said: Habarini, Naomba kujuzwa Bei ya cherehani, butterfly kwa Dar Click to expand... Uko wapi kwani?
mahonyo jr Member Joined Nov 8, 2019 Posts 59 Reaction score 13 Apr 3, 2024 Thread starter #3 Tanga mjini
Dr Matola PhD Platinum Member Joined Oct 18, 2010 Posts 61,430 Reaction score 108,589 Apr 3, 2024 #4 mahonyo jr said: Tanga mjini Click to expand... Nitakutumia hapahapa bei na Duka, Una mtu unayemuamini wa kukununulia au utaifuata mwenyewe? Au kama unajuana na mtu wa Raha Leo ni rahisi zaidi
mahonyo jr said: Tanga mjini Click to expand... Nitakutumia hapahapa bei na Duka, Una mtu unayemuamini wa kukununulia au utaifuata mwenyewe? Au kama unajuana na mtu wa Raha Leo ni rahisi zaidi
mahonyo jr Member Joined Nov 8, 2019 Posts 59 Reaction score 13 Apr 3, 2024 Thread starter #5 Dr Matola PhD said: Nitakutumia hapahapa bei na Duka, Una mtu unayemuamini wa kukununulia au utaifuata mwenyewe? Au kama unajuana na mtu wa Raha Leo ni rahisi zaidi Click to expand... Ahsante mkuu itakua vzr, mtu waifuatulia dar ninae , nikijua Bei na duka inakopatikana 🙏
Dr Matola PhD said: Nitakutumia hapahapa bei na Duka, Una mtu unayemuamini wa kukununulia au utaifuata mwenyewe? Au kama unajuana na mtu wa Raha Leo ni rahisi zaidi Click to expand... Ahsante mkuu itakua vzr, mtu waifuatulia dar ninae , nikijua Bei na duka inakopatikana 🙏
mahonyo jr Member Joined Nov 8, 2019 Posts 59 Reaction score 13 Apr 3, 2024 Thread starter #6 Dr Matola PhD said: Nitakutumia hapahapa bei na Duka, Una mtu unayemuamini wa kukununulia au utaifuata mwenyewe? Au kama unajuana na mtu wa Raha Leo ni rahisi zaidi Click to expand... Pia nitafuatilia Raha Leo mkuu naona itakua nzur zaid hio
Dr Matola PhD said: Nitakutumia hapahapa bei na Duka, Una mtu unayemuamini wa kukununulia au utaifuata mwenyewe? Au kama unajuana na mtu wa Raha Leo ni rahisi zaidi Click to expand... Pia nitafuatilia Raha Leo mkuu naona itakua nzur zaid hio
M Mnafiki Wa Kujitegemea JF-Expert Member Joined Dec 30, 2022 Posts 4,685 Reaction score 7,700 Apr 3, 2024 #7 Dr Matola PhD said: Nitakutumia hapahapa bei na Duka, Una mtu unayemuamini wa kukununulia au utaifuata mwenyewe? Au kama unajuana na mtu wa Raha Leo ni rahisi zaidi Click to expand... Mkuu, Kwa hiyo unavizia ili upewe raha leo hii hii?
Dr Matola PhD said: Nitakutumia hapahapa bei na Duka, Una mtu unayemuamini wa kukununulia au utaifuata mwenyewe? Au kama unajuana na mtu wa Raha Leo ni rahisi zaidi Click to expand... Mkuu, Kwa hiyo unavizia ili upewe raha leo hii hii?
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 167,386 Reaction score 185,624 Apr 4, 2024 #8 Ngoja waje kukupa mongozo... Cc: Mahondaw
Johnny Impact JF-Expert Member Joined Sep 12, 2017 Posts 5,543 Reaction score 9,167 Jul 19, 2024 #9 mahonyo jr said: Pia nitafuatilia Raha Leo mkuu naona itakua nzur zaid hio Click to expand... Ulinunua kwa ngapi? Nahitaji
mahonyo jr said: Pia nitafuatilia Raha Leo mkuu naona itakua nzur zaid hio Click to expand... Ulinunua kwa ngapi? Nahitaji
Trubarg JF-Expert Member Joined Jan 8, 2020 Posts 4,394 Reaction score 7,241 Jul 19, 2024 #10 Nilinunua 250k ya kawaida Kariakoo kabla haijaungua
Johnny Impact JF-Expert Member Joined Sep 12, 2017 Posts 5,543 Reaction score 9,167 Jul 19, 2024 #11 Trubarg said: Nilinunua 250k ya kawaida Kariakoo kabla haijaungua Click to expand... Butterfly (kawaida) ni shiling ngapi?
Trubarg said: Nilinunua 250k ya kawaida Kariakoo kabla haijaungua Click to expand... Butterfly (kawaida) ni shiling ngapi?
Trubarg JF-Expert Member Joined Jan 8, 2020 Posts 4,394 Reaction score 7,241 Jul 19, 2024 #12 Johnny Impact said: Butterfly (kawaida) ni shiling ngapi? Click to expand... Sijajua but hiyo ndo bei nilinunua
Johnny Impact said: Butterfly (kawaida) ni shiling ngapi? Click to expand... Sijajua but hiyo ndo bei nilinunua