Naomba kujua kazi za hizi dawa

Nor-t ni mchanganyiko Wa dawa mbili - Norfloxacin na Triconazole kwa ujumla hii no antibiotics Mara nyingi kwa ajili ya chunusi (acne)

Brofen au ibuprofen ni antiinflammatory drug yenye nguvu ya kuondoa maumivu(analgesic) na homa (anti pyretic)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom