Naomba kujua kazi ya Android security patch level

Kabelwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2015
Posts
684
Reaction score
201
Habari wanajamii,

Ninaomba kufahamu hii Android security patch inasaidia nini kwenye simu sababu kwenye simu yangu huwa inakuja system update ya hiyo kitu.

Shukrani.
 
Kuimarisha usalama wa simu yako,yaani kwa upande wa software.

Sent from my TA-1024 using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…