JosephMagige
Member
- Apr 24, 2021
- 6
- 6
Mkuu kuna vitu haviitaji hata uende shule.Habari zenu wana-Jf ningependa kupata msaada kwa yeyote anaefahamu dawa ya asili inayoweza kutibu na kumaliza kabisa tatizo la ngiri bila ya upasuaji
Kwa jinsi ulivyoelezea apo unafikiri mtu ambae hajasoma hata biology atakuelewa halafu unasema kuna mambo hayahitaji hata shule?Mkuu kuna vitu haviitaji hata uende shule.
Kwanza Ngiri(Hernia) sio Mshipa...
Nguo yako ikitoboka si unapeleka kwa fundi akashone?Kwa jinsi ulivyoelezea apo unafkr mtu ambae ajasoma ata biology atakuelewa aafu unasema kuna mambo ayahitaji ata shule???????
Hakuna ugonjwa usio na tiba" mwaka 2012 nilipata ngiri kwenye korodani nikatumia dawa za wamasai mpk Leo hii naickia kwa jirani tu ssa ww unasema haiwez kutibika?Nguo yako ikitoboka si unapeleka kwa fundi akashone?
Inaitaji kuwa umesoma?...
Unaweza kuikumbuka hiyo dawa mkuuHakuna ugonjwa usio na tiba" mwaka 2012 nilipata ngiri kwenye korodani nikatumia dawa za wamasai mpk Leo hii naickia kwa jirani tu ssa ww unasema haiwez kutibika?
Hiyo haikia ngiri labda hauijui ngiri sio kila kuvimba Korodani ni ngiriHakuna ugonjwa usio na tiba" mwaka 2012 nilipata ngiri kwenye korodani nikatumia dawa za wamasai mpk Leo hii naickia kwa jirani tu ssa ww unasema haiwez kutibika?
Kama ya kutengeneza , au Kuna majani au mizizi fulani, sema na wengine yaweza kuwawasadia, kipindi hiki Cha barid watu wanasumbuliwa Sana na ngiri.Pole sana ndugu yangu Ninayo dawa yakuweza kukutibu ukapona kabisa .tena ntakusaidia bure kabisa njoo pm.
Mkuu pole sana Dawa ya Asili inayoweza kumaliza tatizo la mshipa wa ngiri pasipo na upasuaji ipo nitafute kwa wakati ili nipate kukutibia upate kona maradhi yako.Habari zenu wana-Jf
Ningependa kupata msaada kwa yeyote anaefahamu dawa ya asili inayoweza kutibu na kumaliza kabisa tatizo la ngiri bila ya upasuaji
Kaka vipiPole sana ndugu yangu Ninayo dawa yakuweza kukutibu ukapona kabisa .tena ntakusaidia bure kabisa njoo pm.
Ulipata mkuuKaka vipi
Naomba Mr niku pm mkuuPole sana ndugu yangu Ninayo dawa yakuweza kukutibu ukapona kabisa .tena ntakusaidia bure kabisa njoo pm.
Ulipata dawa mkuu?Habari zenu wana-Jf
Ningependa kupata msaada kwa yeyote anaefahamu dawa ya asili inayoweza kutibu na kumaliza kabisa tatizo la ngiri bila ya upasuaji