Ahsante kwa mchango wako mate.Wanyakyusa mi magenius kweny elimu ya kibongo ,Wana vipaji haswa mpira damu
Mimi si msukuma, napenda tu kujiDisguise hivyo kwa sababu zanguIla ni washamba kama nyie wasukuma tu!mnfanana kabisa
Hapo muulize bimkubwa vizuri we ni mnyakyusa ama msukuma...............Habari, naomba kujuzwa kidogo kuhusu tabaia/Sifa za watu wa mkoa wa mbeya hasa (Wanyakyusa). Wanasifa gani tofauti na za makabila mengine Hasa Wanaume wa kinyakyusa(Distinctive features).
Kwanini nauliza??
Well.. Kwa sababu zangu binafsi Mara nyingi napenda kujitambulisha kabila langu kua ni "Msukuma" na naongea kisukuma pia somehow. Bahati mbaya sana hua japo najitambulisha kama msukuma ila hua wanakataa na kusema mimi ni mnyaki. Eneo nililopo sasa wananiita mnyaki na wengine hupenda kuniuliza habari za mbeya ila Sijawahi kufika mbeya hata siku moja...Nikiuliza kwanini mnadhai mm ni mnyaki wanasema wanyaki wanaume sura/muonekano wao haujifichi.
Kilichofanya nichukulie serious hii ishu ni jambo lililotokea wiki hii, Nilienda mahali fulani kupata huduma Unfortunately some inconvenience merged and it was kinda a no-go on my service. Ila mtoa huduma mdada akaniambia nakusadia tu kwakua wewe ni "wakwetu," Nilishtuka kidogo nikauliza kwenu wapi?? Akajibu.. Mbeya!!
Nikauliza umejuaje mimi natokea mbeya?? Akasema pia sura yako inaonyesha ni myakyusa😅 Ili nisikose huduma ikabidi nikubali tu.
Hear, Hear.....
Nijuze sifa za watu hawa ili nijue kwanini nami nachukuliwa hivyo!
I want to embrace it...Nianze kujitambulisha kama mnyakyusa✌️
Hapana mkuu, bahati mbaya katika majina yagu yote matatu hakuna la kiswahili/kikabila. Mara nyingi naambiwa sura yangu ni ya kinyakyusa (utulivu??? Ukimya??)Inawezekana jina lako hasa la ukoo / ubini linaanza na Mwa. Hata mimi watu wengi huniambia ni mchaga na kiuhalisia sio mchaga
Aiseee! Muulize vizuri mamaHapana mkuu, bahati mbaya katika majina yagu yote matatu hakuna la kiswahili/kikabila. Mara nyingi naambiwa sura yangu ni ya kinyakyusa (utulivu??? Ukimya??)
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sijui kwa nini nimecheka kwa sautiUNYAMA NI MWINGI MWAISA
Mkuu nina rafudhi ya kichuga..Jiangalie vizuri mtu mbad,hujafanana na parachichi la Tukuyu kweli?🤣
Sina jibu la moja kwa moja,lakini nadhani kuna muonekano fulani wa sura huwa unatoa ishara asili ya mtu,kwangu huwa rahisi sana kuwatambua wabena na wakinga hata nisiposikia rafundi yao,huwa nikiona muonekano wa sura najua huyu kama si mbena ni mkinga.
Labda mababu huko waliinteract na wanyakyusa,so una vifeature fulani kimuonekano,kama wanyakyusa wengi waonekanavyo.
Hivi Kuna mnyaki pisi kali??🚶🚶Nipe muongozo pisi kali mwaisaa