yani nilivyokuja mbio nikajua ntakutana na bongee la quest eti nakutana na sub topic za mechanics ni ngapi.
kwan unaona vipi kugoogle?
af unafikiri elimu iko kama rula kila mara curriculum huwa inabadilishwa kutokana na kukua kwa tech. so yawezekana wewe ulisoma sub topic 7 mwenzio anasoma 15.
af unaongelea sub topic za chuo ama sekondari?