Ni wasanii hasa. Interview 3-4. Yaani pale mswahili anayepokea hela kubwa ni shs 2.5 million. Wengine wanambwelambwela kwenye laki nne na tano gross. labda uwe pappet wao. Tena baada ya muda na utaogelea kwenye laki 7-9. Mbaya zaidi unaweza pewa warning letter ndani ya siku 2 za kuanza kazi na wakati huo upo probation. So unaweza fukuzwa kazi ndani ya probation. Wale wakanada ni noma bora wahindi. Waswahili ndo wanatake advantage Yao. Basi Papo tu.
Ukioona kwa nje unaitamani ILA ndani ni uozo WA kijinga haswa.
Kila la kheri ndugu.