Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,550
- 1,166
Niko hapa stendi ya arusha ndani ya mabasi yanayoelekea moshi.Kuna hawa wauzaji wa vitu vidogo vidogo wanapenda kweli kuja madirishani kuadvertise biashara zao.
Mmoja anauza miwani,na akawa anamwelezea baba aliekaa mbele yangu kuwa zina lenzi na ukivaa unaweza kuona wengewenge.Huyu baba kainunua kwa 5000 ilikuwa inauzwa 7000.Nimeshindwa kuelewa kabisa inakuwaje mtu unanunua miwani yenye lenzi ambayo hujaelekezwa na doctor au hii imekaaje?
he he, ukishangaa ya Musa wii utaona ya firauni.
Soko huria limefanya tumekuwa na miili huria.
upo katika machame express nini?....huyo baba anataka kuona wenge kama alivyoelezwa na huyo bingwa!

hahahaha na kweli hii ni miili huria lol mzee wa watu keshaitundika machoni natamani kumuuliza anaonaje baada ya kuivaa ila ana sura ya ubandindu
usijaribu kumuuliza.
Labda hapo ana hasira kanunua ili amwone mdeni au mgoni wake vizuri.
Atarusha ngumi za uso.