Kwa profession mimi ni operator wa excavator pia ni welder. Kwa yeyote atakayekuwa na connection asisite kunijulisha kupitia wawasiliano haya 0676030410
Ingia Brightermonday kuna Tangazo la Geita Gold Mine wanataka Operator wa Excavator.
Kama upo Dar es Salaam jaribu kutembelea ofisi za wakandarasi kama Estim,Mac Contractors, Group Six, CRBC, CRCC, Hari Singh, CRJE, BECCO na Group 7.