Wewe aminangalo, unatufanya sisi wajinga, hujui kwamba hapa JF ni kwa ma-GT? Unajifanya eti ulikuwa shabiki wa Chadema!!!?? Tangu lini? Inaelekea hujui kwamba kila unachoandika hapa JF kinarekodiwa! Hebu ngoja nikukumbushe baadhi ya post zako ulizoandika hapa JF siku za karibuni: Tarehe 1.10.2013, 19:56, uliandika,"Tunataka tukamzike mwana CCM mwenzetu ni wapi na lini??" Tarehe 25.10.2013, 19:08, uliandika,"CCM ni chama dume la mbegu bisha uone." Vilevile tarehe 4.11.2013, 14:30, uliandika,"Pumba tupu raisi lazima atoke CCM tuu." Pia tarehe 6.12.2013, 21:07, uliandika,"Hata mimi naunga mkono Chadema kufutwa." Na tarehe 12.12.2013, 18:32, uliandika,"CCM tuu ndiyo mambo yote hapa chugga." Halafu leo unaleta za buku 7 !!!