Magulumangu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 3,047
- 455
malenga ya kazi gani, mmekosa kazi ya kufanya eti?
umerogwa wewe!
Hujaona jukwaa la sports? Au!
Naunga mkono hoja, jukwaa liwepo hapa
Nasi sote kwa pamoja, mashairi kuyatupa
kwa wale wenye vioja, na wale walio supa
Tuwekeeni jukwaa, tupate kuwa wachuja
Nami naunga mkono hoja.,mods ebu tupeni uga nasi tumwemereke!
Malenga ya kazi gani, mmekosa kazi ya kufanya eti?
Nawajua sana magamba, huwa hamchelewi kukimbilia uchawi
Kuna jukwaa la Lugha ambako kuna mashairi lukuki yanajadiliwa na Malenga waliobobea ndani ya JF
Jukwaa la Lugha
Naunga mkono hoja, jukwaa liwepo hapa
Nasi sote kwa pamoja, mashairi kuyatupa
kwa wale wenye vioja, na wale walio supa
Tuwekeeni jukwaa, tupate kuwa wachuja