not found 404
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 322
- 177
Vp tena?Unataka nini? Waalimu hangaikeni na matatizo yenu kwanza "kuna mdau alisema humu kuwa waalimu wa hii nchi ni....... Kweli ninaanza kuamini.
Ntamuachia atiririke kusoma maoniHao wachukulie kama wadogo zako tu,apply psychology kama kweli ni mwalimu..acha kuwaona kama wanawake.
Sijakuelewa mkuu,unamaana gani yaani.Ntamuachia atiririke kusoma maoni