Mkuu....idadi per week ni kubwa Ila unaonaje ukanunua kwa 5500 mpaka 5000 tray. Kwamimi binafsi naona 4000 kwa tray ni mbali sana hata ungenunua 10000tray per week. Ifike wakati tuwahurumie wakulima na tuwape what they deserve
Kuna discount jamani lakini this is too much. Discount inapogeuka kuwa unyonyaji kwa wakulima. Issue hapa sio idadi ya tray per week, je hao kuku wanaotaga wanapaswa kupata chakula na huduma nyingine.
Asante kwa kuelewa but mi sio mkulima ila nimewah kufanya kautafiti ktk ufugaji wa kuku wa kienyeji wa mayai kuanzia chakula na huduma nyingine unakuta per week wana - consume kiasi kikubwa cha hela, nikajaribu kulinganisha na hilo dau lako for sure cjapata uwiano hata kidogo. So ikanibidi kuvaa kiatu cha wafugaji wa hao kuku wa mayai. So acha wafugaji waje m- negotiate bei.Karibuni jaman mumuuzie mayai ndugu yetu.
KUNA MTU HUMU ALIKUJAGA ANATAKA KUKUWA KIENYEJI 200 KWA KILA WIKI LAKINI ALIPOKUWA ANATAFUTWA AKAWA ANA MBWELA MBWELA HAPATIKANI....
I HOPE MLETA UZI HUU HIII ORDER YAKO IPO NA INAFANYIKA.....
USIONE KAMA NIMEKU KWAZA ILA TU NATOA TU MAWAZO YANGU .....