K KIJANA2013 JF-Expert Member Joined Jan 21, 2013 Posts 466 Reaction score 201 Mar 21, 2017 #1 Salaam wana JF Kwa yeyote anayeuza Green House, ziwe zilizotumika lakini ziko hali nzuri au hata kama ni mpya, tafadhali naomba awasiliane na mimi. Nawasilisha
Salaam wana JF Kwa yeyote anayeuza Green House, ziwe zilizotumika lakini ziko hali nzuri au hata kama ni mpya, tafadhali naomba awasiliane na mimi. Nawasilisha