Ninanunua gallstones zinapatikana kwenye nyongo ya ng’ombe gram moja 50000. Robo kilo million 12.5 Nicheck Whatsapp , Call na Sms kwa No:- 0693296809
Sasa si uende vingunguti? Unajua unapotaka kutapeli watu uwe unatumia akili kidogo..Ninanunua gallstones zinapatikana kwenye nyongo ya ng’ombe gram moja 50000. Robo kilo million 12.5 Nicheck Whatsapp , Call na Sms kwa No:- 0693296809
hahahaa mkuu FRANCIS DA DON kama wa vingunguti hawana je...Sasa si uende vingunguti? Unajua unapotaka kutapeli watu uwe unatumia akili kidogo..

hahaahaha unafanya mchezo na milioni 12 nini....em chinja ukague mmoja mmoja kama ana gallstones..Utafanya nichinje mufugo yangu yote kupata hizo Gallstones ujue![]()
Kaweka namba yake acha kujitutumua hapaHakuna mtu atakuuzia GALLSTONES hapa....zaidi ya kukutana na Watu wanaojifanya Wajuaji ilhari hawajui chochote...
By the way price yako ipo Chini.....
Upo wapi? Unaweza kuongeza offer yako?
Unanunua kuanzia Gram ngapi?
Are you end buyer au ww ni Broker...?
Kote hko nmefika. Sema nnataka kupata soko la mikoan piaSasa si uende vingunguti? Unajua unapotaka kutapeli watu uwe unatumia akili kidogo..
==============================
View attachment 1193707
Hakuna utapeli hata kidogo mkuu kwanza bei aliyotaja ni ndogo.Kuna harufu naihisi hapa...hata hivyo ngoja nisipate dhambi ila muda utaongea...maana isije ikawa ile habari ya kujifanya vitu fulani ni dili..halafu mtu anatangaza kununua then baadae anavikusanya anauza kwa bei kubwa..halafu mwisho wa siku kumbe havina maana yoyote!
Kuna harufu naihisi hapa...hata hivyo ngoja nisipate dhambi ila muda utaongea...maana isije ikawa ile habari ya kujifanya vitu fulani ni dili..halafu mtu anatangaza kununua then baadae anavikusanya anauza kwa bei kubwa..halafu mwisho wa siku kumbe havina maana yoyote!