Power G JF-Expert Member Joined Apr 20, 2011 Posts 3,884 Reaction score 1,201 Apr 2, 2012 #1 Kufuatia kitendo cha Lichama Kubwa la CCM kugalagazwa na "chama cha musimu" CDM katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Arumeru mashariki, nani wa kulaumiwa kati ya wafuatao: Mkapa, Wassira, Lowasa, Mwigulu, Lusinde, Nape, JK?
Kufuatia kitendo cha Lichama Kubwa la CCM kugalagazwa na "chama cha musimu" CDM katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Arumeru mashariki, nani wa kulaumiwa kati ya wafuatao: Mkapa, Wassira, Lowasa, Mwigulu, Lusinde, Nape, JK?