Nani mwenye mke mzuri?

Watanzania aliyewaloga keshafariki,

Badala ya kujadili hatma ya wataka Urais na Nchi yenu,mnawajadili wake zao.

Hii ina manufaa gani kwa Taifa?

Uzuri wa mke aujuae Mumewe!
 
Uzuri wa sura au performance ya kitandani? Ni swali tu no offense intended
 
Poa sana........twende tukapande evoque ya kichina kule........

Hahaha ukiipanda ile utajikuta umedondosha vifaa vyote njiani. Naiogopa mzee bora nibaki na passo yangu.
 
Watanzania aliyewaloga keshafariki,

Badala ya kujadili hatma ya wataka Urais na Nchi yenu,mnawajadili wake zao.

Hii ina manufaa gani kwa Taifa?

Uzuri wa mke aujuae Mumewe!

Hebu toka huku rudi kule ukabwabwaje ulipwe buku 7 zako.
 
Mtoa mada hajui maana ya uzur wa mtu... afterall hebu watz tuwe serious na mambo ya msingi... watu wanatangaza nia nyie....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…