Sharo hiphop
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 660
- 104
Kilichobakia hapo ni NYEG* zao ndio zilizowaponza.naloelewa so far
kosa sio la shetani,pombe, feadha
Wahudumu na umeme..
kosa ni za zilizo bakia ukiondo hizo
nilizo zitaja..
Kawaida tu hawatoshangaana wala nini. Brazil watoto wa kike chini ya 18yrs 99.6% walianza kutafunwa na baba zao kwanza kabla ya kuwa machangudoa. Kwahiyo kama wako huko poa tu au hujasoma hadithi ya chaja ya kobe?Hivi huyu mze siku anarudi nyumbani na mtoto wake huyo wataangalianaje?
Kuna mzee mmoja (mfanyakazi/mheshimiwa) alienda semina mbali na kwake, huko ikabidi akuchukue nyumba cha kulala wageni, baadae ikabidi atume wahudumu wamtafutie kiburudisho (ka CD). Kwa kuwa yeye alikuwa amelewa chakari na bahati mbaya siku hiyo umeme haukuwepo ikabidi akipokee kiburudisho chake hivohivo. Aliletewa binti mrembo ambaye na yeye alikuwa maji, basi hawa wapenzi wawili waliokuwa wamelewa usiku huo wakatafunana usiku kucha kwani hawakuweza kuonana kwa sababu ya giza. Mze alikuwa na ugwadu sana na huyo binti nae alikuwa na njaa ya hela,
asubuhi dingi anashtuka aliekulana nae ni binti yake ambaye yuko mkoani hapo kwa ajili ya masomo ya chuo kikuu!
Ilikuwa boooooooooooonge la aibu. SASA,,,,,,,,
mwenye kosa ni nani?
1. Wahudumu?
2. Mla chenchi?
3. Chenchi yenyewe?
4. Au nani????
Karibuni waheshimiwa jamvini!!

Tathmini personally nimeshindwa maana najaribu kuweka katika imagination na imenigomea..... Naona am living in a fantasy world hoping kitu kama hicho kisitokee....
Bwana Asha we achu best, nahisi thats why many people commit suicide, assume you did so with you dadie, what will you do?