medson jonasan
Senior Member
- Jan 14, 2014
- 145
- 27
Alieiba pesa akatoa sadaka ndio noma.
Ukishapata majibu THEN WHAT!!!!!!!!!!
Aliyeiba biblia akafundishe neno la mungu ,Tajiri kumtia ukimw maskin angali anajua.aliyeiba chakula kupeleka msibani .alieiba pesa na kutoa sadaka..kichaa aliyeiba viatu msiktin .na kichaa aliyeuwa.
mwisho kabsa ombaomba aliye mzulumu tajiri na malaya ayesambaza vvu.........nisaidien majibu.
Maswali mengine bwana tunamaliziana charge tu.
Nasubr jib lako maana nakutegemea sanaaaaaa
Hatumaliz charge boss bali tunajadili hebu niambi yupi
. mbaya kwako na mwema yupi kwa upande wako yupi mweny dhambi kuzid wengin .na yup wwmema....... kuzidi wengine ..
Hao wote wamo humuhumu dunian na wala si mbinguni.ndio maana swali nikalileta boss........
.
Wewe ndio una dhambi kwa kunimalizia charge wakati umeme hakuna hapa nilipo.
majibu unayo