Mwinuka mzawa Member Joined Feb 28, 2014 Posts 44 Reaction score 1 Aug 16, 2014 #1 Nan ni mtetezi halis wa wanafunzi wa vyuo vikuu wanaodhurumiwa haki zao za msingi ni wiki ya nane wanafunz wapo field hawajapewa pesa zao za kujikimu Tanzania inatengeneza wanafunzi wa aina gan kwa mtindo huu?
Nan ni mtetezi halis wa wanafunzi wa vyuo vikuu wanaodhurumiwa haki zao za msingi ni wiki ya nane wanafunz wapo field hawajapewa pesa zao za kujikimu Tanzania inatengeneza wanafunzi wa aina gan kwa mtindo huu?
mtwa mkulu JF-Expert Member Joined Sep 11, 2013 Posts 8,585 Reaction score 11,269 Aug 16, 2014 #2 wazembe hawajaamua
Nelson Kileo JF-Expert Member Joined Oct 29, 2011 Posts 3,062 Reaction score 3,280 Aug 16, 2014 #3 E.Lowasa - CCM na Z.Kabwe - CDM