Nani mshamba zaidi?

kapingili

Senior Member
Joined
Jul 4, 2012
Posts
155
Reaction score
192
Ni yupi mshamba zaidi kati ya hawa wafuatao,1] alikwenda dukani kuuliza blooth,wa2 aliyeye kulahotel vyombo akaosha .wa3alinuua chostic akaitia kwenye mkoba akachukua zawadi kijijini.wa4 aliye amkaia mtu aliyeko kwenye.wa5 aliyechukua pandela barafu na kuangaliawapi lina vuja.kama hujui niambia kwa 0657949111
 
mshamba ni yule alieamka guest asubuhi akatandika kitanda
 

Kwa Red ndo mshamba!!!
 

Upuuzi mtupu.
 
Hili ni janga la kitaifa. Ni moja wapo ya vyanzo vya migomo kwenye nchi hii.
 
Mshamba ni yule aliweka namba za simu.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Dah hii ni hatari,cjui ungeandka kwa peni kwnye karatasi ingekuaje..
 
thread yake iinaonesha ilikua nzuri. tatzo lugha kaka...
 
inaonekana phonebook yako haijajaa co.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…