Nani mmiliki wa Dar express

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,349
Reaction score
36,304
Dar express inachafuliwa kuna wapuuzi pale kwenye ofisi ya zamani ya dar express ubungo kabla haijahamia shekilango wana chafua jina la Dar express.

Nani mmiliki wa kampuni hii?
 
Mzee Mremi anapatika Kinondoni.
 
Hao ni wapuuzi tu. Mmiliki ni njemba ya pale Mwika Moshi, anaitwa Mremi. Nikupe namba yake??? Washamba ni wengi Tanzania!
 
Dar express inachafuliwa kuna wapuuzi pale kwenye ofisi ya zamani ya dar express ubungo kabla haijahamia shekilango wana chafua jina la Dar express.

Nani mmiliki wa kampuni hii?
Mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…