nziriye JF-Expert Member Joined Jan 23, 2011 Posts 1,050 Reaction score 365 Apr 27, 2015 #1 AU Je, ni wafungwa 400 au 4000+?
theki JF-Expert Member Joined Nov 1, 2013 Posts 2,721 Reaction score 587 Apr 27, 2015 #2 Hapo pa wafungwa wote wako sahihi ila kuna maelezo.Kweli kasamehe wafungwa 4129 ila wafungwa 400 hao vifungo vimefutwa yaani wameachiwa huru.Waliobaki wamepunguziwa adhabu.
Hapo pa wafungwa wote wako sahihi ila kuna maelezo.Kweli kasamehe wafungwa 4129 ila wafungwa 400 hao vifungo vimefutwa yaani wameachiwa huru.Waliobaki wamepunguziwa adhabu.