I pick Konde Boy any time. Kwanza ni speed ya mchezo aliyonayo na flexibility aliyonayo ya kucheza nafasi mbali mbali za ushambuliaji. Mchezaji wa kweli huwa hana nafasi maalumu moja tu anayoweza kucheza kama ilivyo kwa ndugu yetu na apate watu wa kum-feed. Konde Boy is all weather all terrain and above all fearless.
Kama tunazungumzia uzalendo basi Samata ni mchezaji mkubwa mwenye bahati tu za mkenge. Tunamtakia kila la kheri huko Fenabache na kama haitokuwa rizki, basi arudi Yanga kwani Simba kumesheheni vipaji.
Vitu vingine bahati tu, Kisinda ametoka As vita kuja yanga, Ambokile yupo Mazembe Chama yupo Simba... sometimes maisha hayapo fairIlikuaje fundi akakosa namba mamelodi sundowns?
Vitu vingine bahati tu, Kisinda ametoka As vita kuja yanga, Ambokile yupo Mazembe Chama yupo Simba... sometimes maisha hayapo fair
Kiukweli hujamtendea haki Mbwana Samatta japo amepitia simba ungekuwa na heshima kidogo naye .View attachment 1583630
Miqsonne
View attachment 1583631
Samata
Bila kujali timu wanazochezea. Bila kujali nafasi wanazocheza. Kwa kuangalia viwango vyao kwa kuzitendea haki nafasi zao katika timu; nani mkali kati ya Samata na Miqsone
Ndo maana mmeitwa mbumbumbuMiqquisone ni mchezaji mzuri kuliko Samatta.
Tukiangalia history, Mbwana kamuacha mbali kabisa Luis, amewahi kuwa mchezaji bora Africa ligi ya ndani, amechezea timu Bora ya Africa kipindi hicho Mazembe, ameshinda mataji mengi makubwa yakwemo club champions Afrika, Congo na Ubelgiji, amechezea champions league Ulaya, amecheza premier league England, amezifunga Liverpool na Man City nk. Lakini kwa Sasa hivi Mbwana huyu mwenye umri wa miaka 31+ na siyo 27 Kama passport yake inavyosoma kiwango chake kimeshuka, Hana Kasi ya kumfikia Luis, hawezi kutumia miguu miwili kwa ufanisi wa kumfikia Luis, kifupi kwa Sasa hivi form ya Luis ipo juu sana kulinganisha na ya Samata, ndani ya miaka 2 ijayo namuona Luis atakuwa Ulaya na Samata atakuwa arabuni, america au afrikaView attachment 1583630
Miqsonne
View attachment 1583631
Samata
Bila kujali timu wanazochezea. Bila kujali nafasi wanazocheza. Kwa kuangalia viwango vyao kwa kuzitendea haki nafasi zao katika timu; nani mkali kati ya Samata na Miqsone
Labda ulaya ya gongo la mboto.Tukiangalia history, Mbwana kamuacha mbali kabisa Luis, amewahi kuwa mchezaji bora Africa ligi ya ndani, amechezea timu Bora ya Africa kipindi hicho Mazembe, ameshinda mataji mengi makubwa Afrika na Ugiriki, amechezea champions league Ulaya, amecheza premier league England, amezifunga Liverpool na Man City nk. Lakini kwa Sasa hivi Mbwana huyu mwenye umri wa miaka 32+ na siyo 27 Kama passport yake inavyosoma kiwango chake kimeshuka, Hana Kasi ya kumfikia Luis, hawezi kutumia miguu miwili kwa ufanisi wa kumfikia Luis, kifupi kwa Sasa hivi form ya Luis ipo juu sana kulinganisha na ya Samata, ndani ya miaka 2 ijayo Luis atakuwa Ulaya na Samata atakuwa arabuni au afrika
Luis na Suvan unachekesha .....Suvan anawafunga Waydad Casablanca acha mahabaWewe ni Simba mwenzangu mkuu... lkn tuwe wakweli tu.
Achana na Luis Jose Miquissone, kuna watu huwa nikiwasikia wanamlinganisha MBWANA SAMATTA na SIMON MSUVA nawaonaga hawajui kitu.
Hawa watu walianzaga kumpaisha ULIMWENGU nakusema SAMATTA anazidiwa na jamaa huyo lkn waulize kama bado wapo watuletee majibu.
For me Miquissone ni bora kuliko hao wawili (2) hapo juu na sio SAMATTA.
Mada ni kubwa kukuliko.Luis na Suvan unachekesha .....Suvan anawafunga Waydad Casablanca acha mahaba
MiQsone ni sawa na kichuya mwenye akiliView attachment 1583630
Miqsonne
View attachment 1583631
Samata
Bila kujali timu wanazochezea. Bila kujali nafasi wanazocheza. Kwa kuangalia viwango vyao kwa kuzitendea haki nafasi zao katika timu; nani mkali kati ya Samata na Miqsone