Nani mfadhili wa shule ya Ihungo Bukoba

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
3,474
Reaction score
4,007
Hivi hii shule ni ya wazazi au, nani mfadhili wa ujenzi wa shule ya Ihungo, imejengwa kwa viwango na ni nzuri sana. kama serikali imejenga kuna haja ya kujenga kama shule hiyo mikoa mingine. kuna haja ya serikali kujenga shule mpya za kata kwa muundo huu


 
Iyo imejengwa kwa hela za tetemeko zilizotelewa na Uingereza
 
Wahaya bhana!! Sasa hapo washaona ni bongee ya mafaniko. Any way njooni Kilimanjaro mjifunze kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…