ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,557
anayo hoja asipuzweWewe ni bwege wa kiwango cha mwisho
Sawa bro ila kama umeumizwa na uzi bora ungenyamaza tu!Wewe ni bwege wa kiwango cha mwisho
Hivi kabla ya game huwa kuna uchunguzi? Shida ya wa tz majority ni watu sampuli yakoEbu kabla hujaandika fanya uchunguzi ujue iyo mechi ni kwa ajili ya nini pumbavu wewe
Azam wanaitangaza sana game ya Kiba vs Samata, nimejiuliza ni nani aliyefikiria kuleta game hii? Lengo lake nini? Kwanini watanzania hatupendi kuwa serious wakati mwingine? Tupo nyuma sana katika sanaa hii kwanini tunapenda kuleta u Comedy kwenye kila kitu? Kama ni lengo burudani Why basi isiandaliwe mechi ya kirafiki Kati ya Simba SC vs Genk ya Samata? Au game ya kirafiki Taifa stars vs Drc?
Ni kama wabongo hatujielewi wapi tulipo na wapi twaelekea ktk tasnia ya soka la dunia ...lini tutakua serious?
Niwapongeze tu Sportpesa kwa jambo zuri walilolifanya kwa kutuletea moja ya timu bora duniani. Huo ndiyo mfano tuliotakiwa tuufuate kuelekea soka la kimataifa.
Sorry mkuu..pse forgive me.Azam wanaitangaza sana game ya Kiba vs Samata, nimejiuliza ni nani aliyefikiria kuleta game hii? Lengo lake nini? Kwanini watanzania hatupendi kuwa serious wakati mwingine? Tupo nyuma sana katika sanaa hii kwanini tunapenda kuleta u Comedy kwenye kila kitu? Kama ni lengo burudani Why basi isiandaliwe mechi ya kirafiki Kati ya Simba SC vs Genk ya Samata? Au game ya kirafiki Taifa stars vs Drc?
Ni kama wabongo hatujielewi wapi tulipo na wapi twaelekea ktk tasnia ya soka la dunia ...lini tutakua serious?
Niwapongeze tu Sportpesa kwa jambo zuri walilolifanya kwa kutuletea moja ya timu bora duniani. Huo ndiyo mfano tuliotakiwa tuufuate kuelekea soka la kimataifa.
[emoji3][emoji3] why unateseka mkuu.Simba vs Sevilla wengi tumeiona kupitia Supersport channel
Azam ambae ndiye mdau Pekee wa primera ligi -La liga hapa nchini ameshindwa hata kutupa tu highlights au hata uchambuzi wa game ile kwani palikua na mengi ya kujifunza Kwa ujio ule.. Tuliambiwa kungekua na clinic.... Nk tulitaka supersport ya South Africa waendelee na coverage? Kwa faida ya Nani? Hawa azam wameshindwa kuonyesha game ile sababu ya udhamini wa sport pesa eti watu wa kamari , mbona Simba, yanga, sevilla wote mdhamini ni huyohuyo sport peas? Lakini azam wanaonyesha mechi zao wote hao ktk ligi
Sasa Wamebakia kila saa Samakiba.... Samakiba..... Samakiba.... Mmeshindwa onyesha game ya maana..kweli mmeboa
Sawa ndg wacha twende hivo hivo[emoji3][emoji3] why unateseka mkuu.
Its juat business.
Sio dawasco wale,hawapangiwiiii..
Wanaweza wasioneshe hata ligi wakaweka galactic football uamuzi ni wao