Nani kama mama??

Halafu hawa ndege inasemekana katika maisha ya kuzaliwa, kuchanua, kuzaa mpaka kufa kwao wanakuwa na partner MMOJA tu.
 
I love my mama ROZALIA. mom Im luck 2 be ur son.
 
Halafu hawa ndege inasemekana katika maisha ya kuzaliwa, kuchanua, kuzaa mpaka kufa kwao wanakuwa na partner MMOJA tu.

aisee...hiyo imekaa vizuri sana.

Hebu tupatie hiyo source ili tuwafundishie hawa "vibiriti ngoma" ambao wanaona kuvaa suruali za kubana na vitait barabarani ndio tabia njema.
 
I love my mama ROZALIA. mom Im luck 2 be ur son.

waauu...good news to hear!

Kumbe wewe ndio mtoto wake? Aisee umekua??!! kweli milima haikutani....ilikuaga ngoma yangu hiyo enzi zile niko pale TTC.

Au itakua nimefananisha majina...??!! Polepole usije kunilalua buree..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…