Kwenye suala la kulipia matangazo wewe ni ********!Mjinga tu haitoshi maana umeuliza swali la kipumbavu sana.
Mzee Kingunge unataka kumfananisha na Slaa tuliyehoji nani alimlipia muda wa matangazo?
Kingunge na ukongwe wake,tena kashika nyadhifa mbalimbali na kubwa ndani ya chama dola ni wa kuhojiwa kapata wapi pesa?
Angalieni maswali ya kuuliza jamani,sio unakuja na maswali yako unatuachia wengine maswali na kukushangaa juu.