Nani kabakwa nanyan?

Status
Not open for further replies.
kaka wa watu anatiaje huruma! Basi ndo pakumsamehepo haahahah. Poe mwaya.. Shit happens. Ila ulivuruga
 
nimesisimka hadi nywele hkyanani JK achape bakora walimu!!! Apo mzazi unaumiza kichwa mambo yenyewe haya aisee acha tuu wababa wahonge ! Mara mia kuliko

Pengine Mwl wake huko anashukuru kwamba kijana anatambua hata hizo herufi sasa.
Huyu akishika kalamu akaandika hutatamani hata kuigusa hiyo karatasi!!!
 
Kama jinsia yako ya kike ni pm!!!maana una jini linaitwa Ngono zembe na mie napenda hayo majini.....ni pm fasta...ndo maana unakuwa hivyo..me ni Mganga wa kutoa hayo majini..

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Aaaaaaarrrrggghh!!!!!

Najuuuta kuufungua uzi!

Huyu jamaa anadhani hili jukwaa ni kama rough paper?

Jamani hii elimu ya wapi wanayoandika namna hii?
 
Naona selection za kuelekea form one zimebuma! So dogo kaja kuondoa stress hapa!

Au hamjagundua hilo wakubwa?

Hii ndo GRADE F pure!
 
dogo niliyemuachia cm alikutamlango waz nakuanzakuandika madudu yake anayoyajua nisamehen nikosalangu kumuachia sim

Khaa, kwa hiyo hapa ndo umeandika vizuri na kwa ufasaha hapa? Mtasababisha Mulugo alete division six sasa! Five haiwezi kuku-accomodate!
 
Wewe ni kibogoyo?

Au umepaliwa na tonge la ugali wa moto??

Au mikono imeathirika na masterbation inashindwa kuacha space?


 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…