Duh Mkeshahoi..........inakuwaje watoka kwenda nyumba ndogo pasipo kutatua tatizo ndani?? kama issue ni uzao ni haki kabisa wewe na wifi kukaa na kujaribu kuangalia kitu cha kufanya...unless mlishafanya hayo na wifi akajua kabisa hatakaa akuwezeshe ndo ataikubali hali hii............
mmmh,mwanamke anaumia zaidi kwa kweli.jee umri wao ni miaka mingapi?na huyo mwanamke kaamua bora avumilie,juu ya kujua na anaendelea kumpa mumewe mapenzi motomoto.nina uhakika anaumia kimoyomoyo,na anajihisi yeye ndio mwenye matatizo,ndio maana anaendelea kumuenzi mume wake,ukiangalia mume ndie aliezaa nje.
anayeumia ni mke!,mtoto hajapata that is one,second mume naye ndio huyooo ameshaamua kuwa na nyumba ndogo...hili nalo linaumiza..
cha kuwasaidia,waambie kwa hisani ya watu wamarekani wavunje ukimya!LOL..wazungumze....kama kweli huyo mwanamke hana uwezo wa kuzaa anaweza akakubali mumewe aoe mke mwingine kwa ajili ya kumpatia watoto...
ukizungumza naye kwa upole na kumuhakikishia nafasi yake na upendo juu yake itabaki pale pale..mnaweza kufikia maelewano!:teeth: