Nani huumia zaidi...?!

Mkeshahoi

JF-Expert Member
Jan 4, 2009
2,469
281
Fikiria mmeoana na ndoa yako ina miaka zaidi ya kumi.
Wote kibaiolojia mko fiti kabisa...!!
lakini ndoa yenu haijabahatika kuwapeni mtoto ilhali jitihada za dhati...!!
wewe kidume umechepuka magendo one tym... nyumba ndogo inashika mimba...!!
Mkeo anastukia hiyo ishu....hakwambiii.... anatulia tuli na anakupa mapenzi ya that

MFANO WEW MWANA JAMII UNAKUWA RAFIKI WA FAMILIA HII NA WAJUA SITUATION ILIVO...WADHANI NANI ATAKUA ANAUMIA ZAIDI... UNAWEZA KUSAIDIAAJE KATIKA HILI...!!!
 
Duh Mkeshahoi..........inakuwaje watoka kwenda nyumba ndogo pasipo kutatua tatizo ndani?? kama issue ni uzao ni haki kabisa wewe na wifi kukaa na kujaribu kuangalia kitu cha kufanya...unless mlishafanya hayo na wifi akajua kabisa hatakaa akuwezeshe ndo ataikubali hali hii............
 
mmmh,mwanamke anaumia zaidi kwa kweli.jee umri wao ni miaka mingapi?na huyo mwanamke kaamua bora avumilie,juu ya kujua na anaendelea kumpa mumewe mapenzi motomoto.nina uhakika anaumia kimoyomoyo,na anajihisi yeye ndio mwenye matatizo,ndio maana anaendelea kumuenzi mume wake,ukiangalia mume ndie aliezaa nje.
 
anayeumia ni mke!,mtoto hajapata that is one,second mume naye ndio huyooo ameshaamua kuwa na nyumba ndogo...hili nalo linaumiza..

cha kuwasaidia,waambie kwa hisani ya watu wamarekani wavunje ukimya!LOL..wazungumze....kama kweli huyo mwanamke hana uwezo wa kuzaa anaweza akakubali mumewe aoe mke mwingine kwa ajili ya kumpatia watoto...
ukizungumza naye kwa upole na kumuhakikishia nafasi yake na upendo juu yake itabaki pale pale..mnaweza kufikia maelewano!:teeth:
 
hapo unaongelea ndoa ya zaidi ya miaka 10....wahusika wenyewe wameshatafuata kila mbinu zinazowezekania(kasoro ushirikina kwani ni wakristo).....!!!!
 
mmmh,mwanamke anaumia zaidi kwa kweli.jee umri wao ni miaka mingapi?na huyo mwanamke kaamua bora avumilie,juu ya kujua na anaendelea kumpa mumewe mapenzi motomoto.nina uhakika anaumia kimoyomoyo,na anajihisi yeye ndio mwenye matatizo,ndio maana anaendelea kumuenzi mume wake,ukiangalia mume ndie aliezaa nje.

waliaona wakiwa mid twenties... jamaa ni mjasiriamali... mke alikuwa na kazi nzuri tu... na kwa kumpenda mumewe, aliacha kazi akamfata Jijini...!! Na wanaishi pamoja kwa upendo lakini ndo hali ilopo....utawasidiaje?!
 
anayeumia ni mke!,mtoto hajapata that is one,second mume naye ndio huyooo ameshaamua kuwa na nyumba ndogo...hili nalo linaumiza..

cha kuwasaidia,waambie kwa hisani ya watu wamarekani wavunje ukimya!LOL..wazungumze....kama kweli huyo mwanamke hana uwezo wa kuzaa anaweza akakubali mumewe aoe mke mwingine kwa ajili ya kumpatia watoto...
ukizungumza naye kwa upole na kumuhakikishia nafasi yake na upendo juu yake itabaki pale pale..mnaweza kufikia maelewano!:teeth:

na jamaa hataki ...hata kuwaza..achilia kusiki... habari ya kumuacha mke... wamesota nae sana na uhusiano wao ulipita ktk misukosuko hadi leo wako pamoja....!!
 
hiyo bonge la ishu bt always mwanamke ataumia zaidi........ ushauri ni kutafuta mtu atakaye heshimu tatizo lake coz Mungu hamtupi mja wake one day atapata naye mtoto
 
kwa hiyoo watosane?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom