Nguvu moja
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 3,371
- 2,712
Jimama limekolezwa na kiben ten.Tandika devs coner hiyo mkuu.
Mpaka kumebakia pachungu.Jimama limekolezwa na kiben ten.
Mkuu kweli nayaona. ..kua uyaone.
80% itakuwa tu ni dar......Hii wapi huko
Maumbile yao yako sawa NAHUJA:Ina maana hako kaserengeti kanaumbile sawa la kuvaliana nguo na baba mwenye mke au kanakwenda kupunguza au kuongeza!!!!
hahahahahahaah