Nani anaweza kujaribu hii?

wenzetu wameshiba ndo maana wanafanya hayo yote sasa sisi njaa , jobless , na matatizo rundo ukisimama tu pale ,kwanza haufiki tayari chini bila hata kujielewa
 
Duh hapo kwa Tz labda mtikila maana ndiye anayejiita Jasiri.
 
hmmm... kashiba maisha ya LA ama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…