Nani anaujua ukweli?

Puffader

Member
Joined
May 8, 2013
Posts
44
Reaction score
9
Hivi Ngwair alikuwa kabeba madawa tumboni au alitumia tu ? Hichi kinaleta sintofahamu miongoni mwetu.Kuna video iliyowekwa youtube ikimwonyesha uchi akipasuliwa na madawa kutolewa tumboni kama ni ya kweli mdau anaejua anisaidie ili kama si ya kweli then castigation of this inhumane behaviour ianze mara moja.Na kama ni kweli nani kaiweka na apate nini watu wakiiona? Don't see any merit
 
Hivo video sio ya kweli wabongo umewasahau kwakuzusha?wapate kula?wanasema kufa kufaana

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…