Nani anasema Iran maskini?

Halafu wao wenyewe hujiita persians hawataki kuitwa waarabu na muda mwingine hujiita real jews
Sasa ulitaka wajiite waarabu wakati sio !!!??
Nyie vijana mko na shida ipi [emoji16][emoji23][emoji16] hem nenda kawasome IRAN (PERSIAN) ili usije koment usioyajua
 

Nimekuuliza swali la msingi, haya maneno yapo kwenye kurani au la, nataka kujua kwanini huwa mnalipukia watu mabomu...

Verses that instructs killings in quran
“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
 
Amka nenda kagoole COVIRAN
 
Iran hawana uchumi juzi UN walipowambia wataiwekea vikwazo kwa kuikodisha urusi silaha baada russia kuishiwa na silaha waliruka na kukataa kujaribu kukimbia vikwazo
Sababu hajawahi ekewa vikwazo [emoji16][emoji23][emoji16]
 
IRAN TAIFA TEULE
 

Hizo aya zote ulizozitoa zinajibiwa na aya hizi hapa. Nadhani ukiangalia scenario wakati wa vita.
Kila mtu ana kichwa chake anavyotafsiri mambo.
Hizo verse angalia zilishuka kipindi gani?
Mbona huyo mtume akumuua baba yake mdogo, Abu Lahab na shangazi yake ambao walikuwa wanawafanyia vitimbi ambao hawakuwa dini yake?
Usome historia vizuri na mlengo wa hizo aya.

Watu tunaishi vizuri na tunasaidiana mambo mbalimbali.
Hizo chuki zitakuwa labda sehemu zingine. Kupigana sababu ya uroho wa madaraka.
Ukisoma historia haya mambo ya kudundana hayajaanza leo wenyewe kwa wenyewe haswa kwenye suala la madaraka na mali.
Hizo aya ulizotoa zote zinajibiwa humu kwa kutumia aya hizi. Ila kama una lengo lako lingine.

Na piganeni katika Njia ya Mwenyezi Mungu na wale wanao kupigeni, wala msianze uadui. Kwani Mwenyezi Mungu hawapendi waanzao uadui.
(Qur'an 2:190)

Muabuduni Mwenyezi Mungu wala msimshirikishe na chochote. Na wafanyieni wema wazazi wawili na jamaa na mayatima na masikini na jirani wa karibu na jirani wa mbali, na rafiki wa ubavuni na mpita njia, na walio milikiwa na mikono yenu ya kulia. Hakika Mwenyezi Mungu hawapendi wenye kiburi wanao jifakhiri,(Qur'an 4:36)
 

Sihitaji zijibiwe, nimeuliza zipo kwenye kurani?? Maana natafuta kujua nini sababu za waislamu kuwa kama mazombi ya kujilipua mabomu, kujua nini haswa husababisha mtu mwenye akili zake ghafla anabwatuka allah akbar na kujilipua sokoni na kuua hadi akina mama wanauza mboga....
Nilitaka kujua nini hasa kinasababisha uzombi kama huu hapa 15 wauawa kwa risasi Iran

Hizi aya zipo kwenye kurani?

Verses that instructs killings in quran
“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
 
Ndiyo ujue msingi wa hizo aya. Zilikuja wakati wa vita kipindi hicho. Usome Qur'an 2:190. Nimekupa aya za kuishi kwa amani na watu umezikataa, nimekupa mfano wa sisi mbona hatujitoi muhanga kwa watanzania na tunafuata Qur'an na tunashirikiana na jamii nyingine mbalimbali.
Hiyo kubwatuka hata wewe si unaweza. Ukimtaja Yesu na kutapeli kwa kujifanya unafanya miujiza ndiyo uaminike? Hiyo logical yako ni kitoto sana.
Hizo taarifa ukitaka kuona ngumu sana kupata ndiyo maana unazitafuta sehemu ya mbali. We ushaona wapi mswahili kajitoa muhanga😀. Unataka kusema huku dini hawazijui, unafahamu wewe mkenya kwa kusoma google kwenye propaganda.
 
Mkuu huyo Mkenya anajulikana humu kuwa kiazi mbatata ,anakupotezea muda achana nae.
 

Narudia tena, zipo kwenye kurani au hazipo, nataka kujua nini chanzo cha waislamu kuingiwa ukichaa wa kulipuka mabomu, wanajitoa mhanga masokoni na kufa pamoja na akina mama wauza mboga na watoto, siku zote nilijua lazima kuna andiko kwenye kurani huwachizisha kihivyo, so hizi aya zipo au hazipo....

Verses that instructs killings in quran
“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
 
Ni sisi tunakopa ama CCM? sahihisha
 
Chuki zako za kipumbavu ndizo zina fanya uislamu uzidi kushika kasi Duniani

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Vipi hizi za bible?

 
Chuki zako za kipumbavu ndizo zina fanya uislamu uzidi kushika kasi Duniani

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app

Hivi kuna chuki duniani zaidi ya mtu kujilipua mabomu na kuua watu sokoni kisa hizi aya zimemchizisha

Verses that instructs killings in quran
“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
 

Hapo sijaona chochote kinachowaagiza Wakristo waue wasio Wakristo kama ambavyo mnafanya hadi leo kisa hizi aya


Verses that instructs killings in quran
“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…