msilanda New Member Joined Jan 6, 2015 Posts 3 Reaction score 1 Jan 13, 2015 #1 Jamani mi nataka kuuliza, kati ya mwanaume na mwanamke , ni nani anayengoza kuwa na michepuko mingi.
Lajomi Member Joined Sep 1, 2012 Posts 63 Reaction score 9 Jan 13, 2015 #2 Jiulize wewe mwenyewe kwanza
kukumega JF-Expert Member Joined Aug 2, 2013 Posts 1,134 Reaction score 486 Jan 13, 2015 #3 msilanda said: hivi jamani me nataka kuulizi, kati ya mwanaume na mwanamke na ni nani anoyengoza kuwa na michepuko mingi? Click to expand... Kati ya jogoo na tetea ninani ana michepulo mingi?
msilanda said: hivi jamani me nataka kuulizi, kati ya mwanaume na mwanamke na ni nani anoyengoza kuwa na michepuko mingi? Click to expand... Kati ya jogoo na tetea ninani ana michepulo mingi?
A Appuch JF-Expert Member Joined Dec 28, 2014 Posts 282 Reaction score 145 Jan 13, 2015 #4 Ni wewe ndo unaongoza.