Nani anajua Kuhusu chuo cha IMTU

Prince naithy

Member
Joined
Nov 18, 2015
Posts
57
Reaction score
3
Ndugu wana JF KWA ANAYEJUA Kuhusu chuo cha IMTU dar es salam Anifahamishe Coz wamenichagua.

Pale NURSING
 
Pole ndugu yangu, chuo kina changamoto nyingi sana kile
 
Ila hicho chuo kina mambo mengi mara hivi mara vileeee. mh! sijui lakini nashindwa kukuambia kama NI CHUO KIMEPATA MTU AU MTU AMEPATA CHUO. tafakari chukua hatua
 
Hiko chuo migogoro kila kukicha, ada pia inatisha hata kama umepata mkopo... !
Jipange kaka pale unaenda kulipa kwa dora
 
kwanini usingeuliza kabla hujachagua kozi IMTU? kwa ufupi ni chuo flani cha kipumbavu!
 
mara mia hata ungechagua udom kuliko huko kwa hao wakina lanjiti
 
Ndugu wana JF KWA ANAYEJUA Kuhusu chuo cha IMTU dar es salam Anifahamishe Coz wamenichagua.

Pale NURSING
Jiandae kutoa ada aka unasoma mbinguni. Nilichaguliwa kusoma MD nikapakimbia. By that time ada ilikua 4500usd per year plus upuuz mwingine inasoma 8mil.. Utajuta kijana
 
mhusika unaenda kusoma level gani? kama ni kwa level ya degree chuo kimefungiwa ila cjajua kwa level ya diploma lakini mazingira ya IMTU co mazuri kabisa kwa kusoma maaana kila muda ni migogoro tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…