Eti umechati na Percy Tau 🤣🤣🤣nimechati na Tau, ni rafiki yangu tangu nipo Egypt kikazi , ameniambia, Mushi, sisi leo tumekuja kucheza mpira, SSC acheze mpira na sisi tunacheza Mpira, mmbora wetu ataondoka na ushindi.
We nae hii comment unatembea nayo mfukoni muda wote huku unavizia nyuzi za michezo ikitajwa Simba na yanga tu,umeshatia timu na hii comment.Ukishabikia sanaaaa Simba na Yanga. kichwani lazima zipungue.
KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMEWARUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU..
Mkuu Kuna mambo mengine hutakiwi kuyakataza Wala kuyakomalia sana. 🤣🤣🤣Ukishabikia sanaaaa Simba na Yanga. kichwani lazima zipungue.
KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMEWARUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU..
Alafu huyo ni shabiki kindaki ndaki wa SimbaWe nae hii comment unatembea nayo mfukoni mida wote huku unavizia nyuzi za michezo ikitajwa Simba na yanga tu,umeshatia timu na hii comment.
Huu ni ugonjwa wa akili.
Anazingua me mpk nimemu Ignore kwa uwo utoto wake 😂We nae hii comment unatembea nayo mfukoni mida wote huku unavizia nyuzi za michezo ikitajwa Simba na yanga tu,umeshatia timu na hii comment.
Huu ni ugonjwa wa akili.
Simba hatuna mashabiki 'bati bovu' kama huyu.Alafu huyo ni shabiki kindaki ndaki wa Simba
😅😅 jamaa alikuw simba, mambo magumu saiv....me ananichekeshaSio kama anapenda. Jamaa nati moja haijakaza sawa sawa
Hii comment yako inakwaza sana kila mahala unailudia ludia, shida ni nini Mkuu una Tatizo kwenye sehemu ya ubongo wako au ndo mawimbi ya akili hayashiki vizuri miezi hii ?Ukishabikia sanaaaa Simba na Yanga. kichwani lazima zipungue.
KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMEWARUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....
MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.
HIZO TIMU NI VYOMBO VYA PROPAGANDA VYA SELIKALI KUWAPOTEZA MABOYA.
MY MESSAGE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
big no,Simba atuna mashabiki maandazi braza.Alafu huyo ni shabiki kindaki ndaki wa Simba