Sina kipingamizi kwako mkuu, mimi siamini katika kuwa na bikra au kutokuwa nayo.Nimeongeza akili zangu na nikapata jibu kuwa Ustaarabu ni muhimu kwa binaadamu, na mtu anapokosea haimaanishi kuwa hawezi kubadilika. Na vile vile huenda masuala ya nyuma unapomuuliza ni sawa na kumtonesha kidonda.
Sasa wewe fikiria, umeenda kuposa, mtu anakuuliza kuwa ushawahi kugegedana na mwanamke ukajibu ndio, unakataliwa kupewa mke, au mchumba anakukataa kisa uliwahi kutoka na mwanamke mwengine unajisikiaje?
Bujibuji amesema juu kuwa haulizi sahani katumia nani, ukimuekea msosi anakula tu.
Kwa vile unajua swali kama hilo la kipuuzi, basi pia sio busara kukaa na mwanamke ukamuuliza habari zake za nyuma katoka na nani... we tia mkono kizani, ukiona tabia chafu unapiga na chini tu kama habadiliki. wapo wengi duniani hawaSina kipingamizi kwako mkuu, mimi siamini katika kuwa na bikra au kutokuwa nayo.
Pia hakuna mtu wakukuuliza hayo maswali ya kipuuzi eti ulishawahi kugegeda!?
Yote hayana ubaya kama mtaulizana wenyewe kwa wenyewe, ukijua past ukai correlate na present basi future inakua uchi kabisaKwa vile unajua swali kama hilo la kipuuzi, basi pia sio busara kukaa na mwanamke ukamuuliza habari zake za nyuma katoka na nani... we tia mkono kizani, ukiona tabia chafu unapiga na chini tu kama habadiliki. wapo wengi duniani hawa
Mkuu, anachoweza kukwambia mwanamke ni kuwa yeye si bikra tu. Tena kuanza kumuuliza nani amekutoa, uliumia? ulijiskiaje? mara ngapi mmefanya, hii ni private life yake, haikuhusu, kinachokuhusu wewe ni kuanzia pale unapomuoa tu, kabla ya hapo huna hio right. Dhambi haihadithiwi, ni siri yako na mungu tu.Yote hayana ubaya kama mtaulizana wenyewe kwa wenyewe, ukijua past ukai correlate na present basi future inakua uchi kabisa
Upuuzi utakuwa umefika ukweni kuchumbia, alafu hao wazazi ndio waulize hivyo.
Wewe ulikuta empty ka mie dadekiii[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Dini yetu inatufundisha kuwa kama umeamua kumuoa mwanamke basi usiulize ya nyuma. Sio ustaarabu kabisa
wewe poti wewe.Nikienda hotelini sina utamaduni wa kumuuliza meneja wa hotelini kuwa hii sahani ninayoitumia ni Nani aliyekuwa wa Kwanza kuitumia
Alikuwa mdogo. Haikuwa akili zake. Hata Mimi nilitolewa chini ya miaka 17 na alinichumbia lakini akili yangu ilivyopevuka nilimwacha nikaolewa na mwingine ambae nampenda nikiwa nimepevuka akili. Ndo maana siamini mambo ya bikra kabisa.Binafsi nilimtoa mwenyewe na shuka lililochafuka damu sikulifua na nimelificha kama kumbukumbu maishani mwangu, alikuwa chini ya miaka 17,namheshimu hadi leo kesho na siku zote za maisha yangu sijawahi kuchepuka na sichepuki sina sababu. Asante sana Mungu wangu kwa kiumbe hichi hapa duniani.
Mkuu mi bado nipo nipo kwanza kama Mwana FA alivosema π π πWewe ulikuta empty ka mie dadekiii[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Huoni kama kuna tatizo hapo,Alikuwa mdogo. Haikuwa akili zake. Hata Mimi nilitolewa chini ya miaka 17 na alinichumbia lakini akili yangu ilivyopevuka nilimwacha nikaolewa na mwingine ambae nampenda nikiwa nimepevuka akili. Ndo maana siamini mambo ya bikra kabisa.