SaintErick
Member
- Aug 7, 2013
- 95
- 61
mkuu SaintErick speaking of a man of principles means a lot,kwa hiyo as you are a man of principles(jina lako pia linaonyesha)unaonaje nyendo za madam wako?ziko sawa?mfano wewe ukioa na mkeo akawa bize sana na kazi solution itakuwa kutafuta wa kureplace pengo la mkeo?
mbona sijaelewe hiyo stori ni wewe ndo ulokuwa unatembea na huyo mama
au ni mchizi flani out!!!!!!!!!!!
Heaven on earth umepatia kabisa. Pokea Likes zangu. Bahati mbaya au nzuri huyo SaintEric mimi namfahamu kwa jina, kwa sura na tabia. Basi tuu taratibu za JF haziniruhusu nimuumbue hapa na akome kabisa. yaani tabia yake anaifanya ya mtu mwingine.