Ukifa niachie simuWakuu jana nimepigiwa simu nikaambiwa kuna mzigo unakwenda Goma na mwingine Bukavu naenda kupakia nitawajuza safari yangu ya DRC sijui ni Silaha au nini?!
Hata nikifia kitandani?πUkifa niachie simu
Mkuu, hivi Kongo ina makabila mangapi? Hawa wakasai, wanazungumza lugha tofauti na kilingala? Hivi kuna kabila la lingala ambalo ndilo huzungumza kilingala?Nani adui namba moja wa Kongo? Ni mkongomani mwenyewe. Nilivyofanya uchunguzi, nimegundua kuwa Kongo ina adui mwingine mkubwa zaidi ya M23 β ni Kabila la Wakasai. Hawa ndio chanzo cha ugonjwa wa ubaguzi katika Kongo.
Mwaka 1960, Joseph Kasavubu alipochukua madaraka, Wakasai walieneza habari kuwa Kasavubu sio mkongomani, bali mtoto wa mzungu. Hii ilifanya Wakongo wengi waamini kuwa Kasavubu sio mwafrika wa Kongo. Kisha alikuja Mobutu, na Wakasai walieneza habari kuwa yeye sio mkongomani, bali ni βTongolais.β
Pia, walieneza uvumi kuwa Laurent Kabila sio mkongomani bali ni Mtanzania, na Joseph Kabila ni mnyarwanda . Katumbi ni mzambia Hadi leo, Felix Tshisekedi, ambaye ni mkasai, anapohusishwa na Wakasai, wanasema kuwa yeyote anayekataa kumkubali ni adui wa Kongo na sio mkongomani.
Wakasai wana uwezo mkubwa wa kudhibiti vyombo vya habari na kueneza habari za uongo. Wanaweza kulipa vyombo vya habari ili vianze kutoa taarifa za uzushi, na hii inachangia zaidi katika kuchochea ubaguzi na vurugu.
Mobutu aliwahi kututadharisha na hawa watu
Wamewahi kusema kwamba Waswahili ndiyo waasi, lakini ukweli ni kwamba, kama hatutawafahamu hawa Wakasai, tutaendelea kukosa amani ya kweli.
Kama Kongo itataka amani, ni lazima waanze kwa kutatua tatizo hili la ubaguzi unaosababishwa na hawa watu.
Mifupa imesheheni Calcium kutokana na Maziwa ya Ng'ombe mtu wa namna hiyo akikupiga ngumi ni kama mkuki inaweza kuingia tumboni.Ni mtu yeyote mwembamba na mrefu kama mnazi
Popote tu utakapofiaHata nikifia kitandani?π
Wakasai wanaongea kikasai, Kasai ni moja ya tawi la mto KongoMkuu, hivi Kongo ina makabila mangapi? Hawa wakasai, wanazungumza lugha tofauti na kilingala? Hivi kuna kabila la lingala ambalo ndilo huzungumza kilingala?
Wako wengi? Kwa hiyo Kongo ina makabila mengi?Wakasai wanaongea kikasai, Kasai ni moja ya tawi la mto Kongo
Mkuu, nimewahi kusikia pia kuhusu Mutwashi, je ni kabila,mila au ni jamii tu ya huko kongo?Wakasai wanaongea kikasai, Kasai ni moja ya tawi la mto Kongo
Umoja wa Kitaifa ni muhimu sana kwenye Nchi yoyote ile.Kongo inaweza kudhibitiwa vizuri lakini utadhibiti Vipi nchi ambayo imejaa ubaguzi
Umekariri mkuuAdui namba moya wa congo ni TOLU na Do you want another Rap ,yes sebo.
Teh teh π π π....huyo mwingine kazeeka sasa hana madharaAdui namba moya wa congo ni TOLU na Do you want another Rap ,yes sebo.