Aisee balton wako vizuri kwenye maswala ya kilimo. Wana drip irrigation systems, madawa, mbolea, wataalamu wa kilimo. Dodoma, Arusha na Morogoro watakuwepo kwenye nane nane. www.balton-tanzania.com check upate more updates.
Je unafahamu sio lazima uwe na shamba au eneo kubwa au kuwa mkulima kujipatia mboga mboga za majani nyumbani? Kujitengenezea kipato cha kila siku n.k ? Tembelea www.balton-tanzania.com ili upate kujua zaidi. View attachment 104122
Tanzania nzima wapo ila tu office zao zipo arusha na dar kwa sababu zao wenyewe.
Balton wasanii sana mimi ni mdau mzuri sana wa Irrigation system Nimejaribu kuwatafuta tuweze kufanya Joint Venture lkn wapi hawapokei simu zangu email hawajibu website haijawa updated kitambo hicho....Shame On them