Katoka nje ya nchi inaitwa bongoland... Nchi ya kusadikika ya wagagagigikokoNilishawahi kuandika kuhusu huyu shogiyoyo kana kimwehu mwehu na kiroho papu, yan ana kiherehere flan hivi cha kishamba shamba, anajichetuaga akili halafu mashauzi yenyewe hayawezi sasa.
Sasa jaman Like seriously Bukoba unaenda na passport ? What for? Kitambulisho huna au ndo show off zisizokua na mbele wala nyuma, na hata kama uliamua kutumia passport ni Sawa huko kuishika mkononi na kujishaua nayo kitu gani ? Mxieew passport yenyewe ya Zamani, hata hainogi kupiga nayo picha tena, mwanamke punguza ulimbuken bwana, pesa unazo , kipaji unacho na uzuri unao, hayo mambo mengine yakupitege bwana na wewe , mxiew zako
Wanazengo Nandy ana show Uko Bukoba ukweni, nendeni kesho mkamsuport bidada, huwa kanajitahid sana kwa kweli
mixeeView attachment 1147393View attachment 1147394
Hivi unaposikia neno kitambulisho unaelewa nini?Nilishawahi kuandika kuhusu huyu shogiyoyo kana kimwehu mwehu na kiroho papu, yan ana kiherehere flan hivi cha kishamba shamba, anajichetuaga akili halafu mashauzi yenyewe hayawezi sasa.
Sasa jaman Like seriously Bukoba unaenda na passport ? What for? Kitambulisho huna au ndo show off zisizokua na mbele wala nyuma, na hata kama uliamua kutumia passport ni Sawa huko kuishika mkononi na kujishaua nayo kitu gani ? Mxieew passport yenyewe ya Zamani, hata hainogi kupiga nayo picha tena, mwanamke punguza ulimbuken bwana, pesa unazo , kipaji unacho na uzuri unao, hayo mambo mengine yakupitege bwana na wewe , mxiew zako
Wanazengo Nandy ana show Uko Bukoba ukweni, nendeni kesho mkamsuport bidada, huwa kanajitahid sana kwa kweli
mixeeView attachment 1147393View attachment 1147394
Passport ni utambulisho/kitambulusho, hivyo sioni kama kuna tatizo hapo. Vitu vingine kwa wenye akili wanakausha tu, sijaona mantiki ya kuzungumzia passport.
Mi yote hayanihusu ila nimependa miwani yake vioo vyake utafikiri vioo vya mbele vya lendi lova.Nilishawahi kuandika kuhusu huyu shogiyoyo kana kimwehu mwehu na kiroho papu, yan ana kiherehere flan hivi cha kishamba shamba, anajichetuaga akili halafu mashauzi yenyewe hayawezi sasa.
Sasa jaman Like seriously Bukoba unaenda na passport ? What for? Kitambulisho huna au ndo show off zisizokua na mbele wala nyuma, na hata kama uliamua kutumia passport ni Sawa huko kuishika mkononi na kujishaua nayo kitu gani ? Mxieew passport yenyewe ya Zamani, hata hainogi kupiga nayo picha tena, mwanamke punguza ulimbuken bwana, pesa unazo , kipaji unacho na uzuri unao, hayo mambo mengine yakupitege bwana na wewe , mxiew zako
Wanazengo Nandy ana show Uko Bukoba ukweni, nendeni kesho mkamsuport bidada, huwa kanajitahid sana kwa kweli
mixeeView attachment 1147393View attachment 1147394
Kaka mkubwa na huku pia unapitaga kumbe nisha kuzoe mtaani kwetu kule !!!!!(habar na hoja mixer)Katoka nje ya nchi inaitwa bongoland... Nchi ya kusadikika ya wagagagigikoko