Napia nakubaliana na mawazo ya huyu bro..Nassari sio kwamba hayo amneno yametoka hewani ni njonzi anazozisema Mh. membe unajua kuna mambo unasikia ukiwa umelala sasa dogo alisikia kuna sauti inayomambia bora kujitenga maana shv sio utani kuna upendeleo wa waziwazi kabisa hilo halina ubishi ..ubaguzi unaosemwa unaoneshwa dhahiri na serikali hivi kweli kwa mfano mdogo tuu inakuwaje maige anatoswa anaingizwa Jr. makamba ukoo mzima ni mafisadi na hakuna asiyejua hilo...inakuwaje mtu aliyesanbabisha mabomu mbagala na gongo la mboto anarudishwa kwenye baraz allafu mnasema kuna usawa watu wa kaskazini tunatoswa kila siku na kupakiziwa mabaya ahaha hii legue mmeanzisha imeanzishwa na CCM wanyewe..utasikia...,nape.., malechela..,Mwinyi..,makamba...,kolimba,utasikia mongela...,utasikia Gama...sijui guninita sijui nani majina ya vigogo vichanga tuu ndio wanapewa madaraka hiyo sio ubaguziii...TUWE WAKEWELI BANA