Namuonea huruma, alinitosa lakini shauri yake

Hahah pole ndugu ndo kapendwa sas utafanyaje
 
...yeye si hanitaki? basi muache mambo ya kibuma atarud nami namsubir kwa bashasha tele nimsurubu yeye si hanitaki?
 
Mara nyingine jifunze kuongopa la sivyo mademu wote wazuri utaishia kuwaita shemeji,kumbuka hawa viumbe wanaaleji ya kuambiwa ukweli.
 
Amerudi analiaa eeh,anatia huruma!Christian bella
 
Na hiyo ndo sababu ya vifo visivyoeleweka kwa wakaka kuongezeka, Kuweni wakweli wanaume ..... siku dada akijua akamchoma visu hata mara 10 ni halali yake

we hua unaona vya wanaume tu huko kwenu huoni wadada mlivyo waongo
 
mi namsubir najua atanifuata tu akili za hawa viumbe nazijua am waiting for her nijilie vyangu kisha nimdump tu

Sasa jamaa atajilia tunda na wewe uje kula vilivyobakishwa(mtumba).
 
Tatizo mwanaume anapokataliwa kwenye mapenz humuombea mabaya aliyemkataa... usifanye hivyo.. we piga kazi.. pata mafanikio.. oa mwanamke mwingne mpende na kumjari..
huo ndo uanaume wa kweli.. kama yakibuma huko aliko itamuuma sana.. kukutosa.. but usimuombee mabaya..
 
Ana style kama za msanii Fulani hivi anaitwa Father G ,aliimba binti mlokole
 
dua la kuku, halimpati ........! kwann umwombee mwanadam mwenzio ubaya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…